Selfika na JF: Snap it. Show it

Haya wengine sie, hata kuwasogelea tyuuh wanasikia kichefu chefu, tutazoeana nao mda gan? Khaaaah tabu tupu. Lol
 
Labda kwa field hapo, maana kila nilipopita niliacha sifa na alama, na nilikua napendwa. Ngoja nimtafute yule mama kwan.
 
Labda kwa field hapo, maana kila nilipopita niliacha sifa na alama, na nilikua napendwa. Ngoja nimtafute yule mama kwan.
Ooh vizuri .. uliishi nao vyema .
Nahisi sikuwa bahati na field

Supervisor wa field alikuwa mtata .. hataki hata mtu akae ofisini kwake , hakuna tulojifunza na tulikaaa field miezi minne
 
Ooh vizuri .. uliishi nao vyema .
Nahisi sikuwa bahati na field

Supervisor wa field alikuwa mtata .. hataki hata mtu akae ofisini kwake , hakuna tulojifunza na tulikaaa field miezi minne
Field bhana huwa nakuaga zoba na mfanyakazi, sichagui chochote nachoambiwa nafanya, yaan sometimes unatumwa kununua kitu upande wa pili unapuyanga hivyo tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…