Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
ahaha! ikishindikana Polisi, nakuwa Polisi binafsi. Ukishakuwa na hivyo vitu kibondoni tayari ni askari. I wish siku moja niwe na company ambayo ndogo ila full of technology itayo deal na maswala ya usalama tu ( usalama cyber na physical ) .Usibadili goal, badili strategy mkuu, hakuna linaloshindikana,

