Selfika na JF: Snap it. Show it

Sawa sawa nimekusoma.
 
Safi sana, hii computer forensics inakuwaje?
Computer Forensics, kwa ufupi wake kwa mfano kuna uhalifu umefanyika wa kiteknolojia iwe computer , simu, au chochote kilicho ungwa na huo mfumo wa kimawasiliano .. mtu wa forensics anaenda kuanza kufanya investigation kujua uhalifu ulivyofanyika waliofanya ikiwezekana, na kukusanya ushahidi kama mtapeleka kesi mbele, huyu mtu wa forensics anakuwa kama shahidi wa kuthibitisha.. ni pana na inaenda zaidi ya hapo. ila mie nilijifunza zaidi namna ya kukusanya ushahidi kuutunza ..kwa ajiri ya kuufikisha unapotakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…