Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Haya sasaYaani mimi nimekesha hapa navizia selfie unanifanyia hivi nkamu? Si sawa
Urudiwe tafadhali
Siku hizi natengwa sanaaa.. ila yote maisha ππHahahahaaaa... usiwaze badae Nitaweka mjomba!
Python ndio major language yangu. kwasbabu za kikazi ndio ina fit kwanguJS niπ₯π₯π₯
Nimekusoma, Python pia ni bonge la language.
Nimekaa pale
πππππππππππ shangazi leo sitoki chumbani, kupata hizo vocha ni kipengele.. leo ni kulala na kunywa
Mjomba Kanichinjia baharini shos msimu huu tukaogee maji ya bahari tuondoe nuksi shos angu!!Afu unipasie na mie, napita na fursa za watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan sasa?Kanichinjia baharini shos msimu huu tukaogee maji ya bahari tuondoe nuksi shos angu!!
Sawa,Post M-alone na kwa lugha ingine tunasema PHP shida ninwatumiaji na sio PHP rahisi kwa hacker kulala nayo mbele. Labda kwa issue zingine kama kuwa nzito kuliko lugha zingine etc.. na kuna namna nyingi za kufanya iwe nyepesi. Kuna mentality tu
Hamna kitu hapo tumepigwaaaaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£
Hutaki au?Hamna kitu hapo tumepigwaaaaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£
Ebu tuone sasa hapa hapa nithibitishie nkamuHutaki au?
Kasema Leo hatoki ndani Shos![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan sasa?
Ipo vizuri sana, upo upande upi?Python ndio major language yangu. kwasbabu za kikazi ndio ina fit kwangu
Sikuhizi Nalala mapema sana mjomba sijakutenga mjomba wangu!!Siku hizi natengwa sanaaa.. ila yote maisha [emoji846][emoji846]
haya shangazi, ila yote maisha ππSikuhizi Nalala mapema sana mjomba sijakutenga mjomba wangu!!
Penetration Tester.Ipo vizuri sana, upo upande upi?
Umekuwaje mjomba??? Usisikitike ivoo mjomba everything gonna be okay!haya shangazi, ila yote maisha ππ
Baridi eti.Sikuhizi Nalala mapema sana mjomba sijakutenga mjomba wangu!!