Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
😄😄😄 ndio huko huko.. nguzo zote kuchomwa motoKama tabata sio![]()
😄😄😄 ndio huko huko.. nguzo zote kuchomwa motoKama tabata sio![]()
Sijajua,Wameolewa?
hahahahahaMateka kumteka mtekaji unafikiri kuna nini hapo ,😄😄😄
Yah,
Mungu awabariki lakini inabidi wapate ndoa ili kuepesha shetani kuwashawishi kuingia kwenye usagajiSijajua,
Ila ni Mabinti wadogo tu wana huduma yao,wanazunguka mikoa mingi sana kufanya huduma.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Chief huyu siyo Heaven Sent kweli?Della Reese posing for the camera.View attachment 2277241
Ya

SawaNimeelewa hapo tu ngoja niendelee kujifunza katiba yetu ya nchi View attachment 2277234
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mshana jamani 🤣🤣🤣🤣Mungu awabariki lakini inabidi wapate ndoa ili kuepesha shetani kuwashawishi kuingia kwenye usagaji
Afu safisha cameraNimeelewa hapo tu ngoja niendelee kujifunza katiba yetu ya nchi View attachment 2277234
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nilitaka nishangae mke wa mbunge usiseme nenoSawa
Tunajua
Una ka bebiwoka![]()
Mimi mkulima,mume ni mfugaji.. huo ubunge kulikoni
Tit for tat
Basi utakua una wamiliki wengi any way HongeraMimi mkulima,mume ni mfugaji.. huo ubunge kulikoni
Aisee...jirani kumbe mkulima, safi sana.Mimi mkulima,mume ni mfugaji.. huo ubunge kulikoni