Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Hahahahaa ndio hapo sasaMaisha yenyewe yakuyaletea u seriousness yako wapi 🤣🤣
Hahahahaa ndio hapo sasaMaisha yenyewe yakuyaletea u seriousness yako wapi 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Nimeshajibu 🤣🤣🤣🤣🤣 nimejibu huku nacheka…
Eeh nafwaaa 😂🤣🤣🤣
Wakiendelea kubweka unawaoffer maji rp wasife kwa kiu🤣🤣🤣Ni kweli eti ‘kuna vitu mtu/ watu wangejua basi ni wangeacha kubweka 😂😂😂
Nyieee😂😂😂Wakiendelea kubweka unawaoffer maji rp wasife kwa kiu🤣🤣🤣
Hashtaglowkey 🤣🤣hatari sana
Amini tu kipenzi hakuna namnasitaki ktamini
Kuna masta hapo juu kasema umenipiga chini🤣🤣🤣🤣bwana YesuAsanteee changuuuu....nimezipokeaa
sawa kipenzi,acha tu niamininiAmini tu kipenzi hakuna namna
Sema dada 🤣Nyieee😂😂😂
Bora hatasawa kipenzi,acha tu niaminini
Ungependa Bibi yako akuandalie nini?Nitakuja babu nichukue maujuzi😁
Nani awape maji 🤣🤣Wakiendelea kubweka unawaoffer maji rp wasife kwa kiu🤣🤣🤣
Hashtaglowkey 🤣🤣hatari sana
Changamoto 🤣🤣🤣🤣Kuna masta hapo juu kasema umenipiga chini🤣🤣🤣🤣bwana Yesu
Usirudie kunipiga kibuti sawa🤣
Wasamaria wema🤣Nani awape maji 🤣🤣
Wabweke mpk wazimie na kiu
Hatari lakini salama😂😂kwani nini kimetokea😆😆😆😆
Hatari saaana😂😂
Nina usemi basi😂😂Sema dada 🤣
Tunaishi nayo tu🤣🤣🤣🤣kikubwa uzimaHatari lakini salama😂😂
Ahaha Sawa namba yangu unayo lkn hiyo haiondoi uhalisia wa ugumu wa maisha yangu[emoji28][emoji28]..Utaweza Kula ugali na nyanya chungu daily?Nakutaka wewe wewee hakyamama tena.
Hivi namba yako ninayo eee..nitakuthibitishia hili