Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,576
- 235,418
[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]Mama yalinishukaaa alaf nilimkandia vibaya shemeji yangu bwana yakamfikia kama yalivyo [emoji23] sintokaa nikarudia.
Broila[emoji2297]Usinitishe na kuku[emoji23]View attachment 2276452
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Karibu.[emoji39][emoji39]
Na hii njaa niliyo Nayo hapa,nimeishia kutamani Tu hiki chakula,hasa tembele[emoji39][emoji39]Wewe ni mchawi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Jinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka kama mwehu[emoji23].
Tulia tafuta kiti kula ugali kwanza.View attachment 2276422
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wa kienyeji huyo[emoji16]Broila[emoji2297]
Pole
Niombee nirejee salama
Ili nikuletee kuku
Ila utaachwa tena
Hiki labda πππWala sio sababu hiyo [emoji23] kuhusu viatu unanidanganya. Hiko kipya ole wako ugawe sasa .
Karibu sana.Na hii njaa niliyo Nayo hapa,nimeishia kutamani Tu hiki chakula,hasa tembele[emoji39][emoji39]
Kwa wajawazitoKaribu sana.
Nasikia tembele ni zuri Kwa afya,hasa kuongeza damu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ahsante, nataka tu hizo nyama.Karibu.
Nipo naupiga mkubwa mkubwa mimi mgonjwa wa mchongo[emoji1787].
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji7] Ole wako ugaweHiki labda [emoji143][emoji143][emoji143]View attachment 2276455
Mwaka wa 5 nazaidi napka haya mafuta.full kunukia nazi tuππSikuwahi kujua Hilo..Mimi nimezoea mafuta ya Nazi sipendagi harufu.Kumbe nimeachwa nyuma sn[emoji28]View attachment 2276411
Ni kheri mana yakibumburuka aibu unaibeba peke yako [emoji2][emoji2][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Mimi stori za mahusiano huwa naishia tu kusikiliza..sitii neno hata[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
kile nishagawa hiki kingine viwili tofauti hivyo ππππ unakaa na viatu kama uhai vile vaa mtu akipenda mguu muachie π€£π€£[emoji7] Ole wako ugawe
Maini[emoji7]Ahsante, nataka tu hizo nyama.
[emoji1787][emoji1787] mwee jamani hayo anapaka yoyote hata mtu mzima hayabagui. NimechekaKuna binti kanichamba huko juu,ananiambia utumie mafuta ya Nazi kwani wewe junior? Nikapita kimya kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]wanaanza kuambiana .Ni kheri mana yakibumburuka aibu unaibeba peke yako [emoji2][emoji2]
Kweli, sema unajua kuchagua viatu big up!!kile nishagawa hiki kingine viwili tofauti hivyo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] unakaa na viatu kama uhai vile vaa mtu akipenda mguu muachie [emoji1787][emoji1787]
Kumbe, haya nakuja kula [emoji39]Maini[emoji7]
Ila yanakuwaga matamu sometimes[emoji847]
Sema mimi siyapendi[emoji1751].View attachment 2276466
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ndiyo bwana msaga kunguni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wajawazito
Kwani una mimba[emoji848]
Roho mbaya hiiππhakuna kurudiana, ππ