Me wananikera sana 🤣🤣🤣Kabisaaa, mtu ukimpenda hata awe maskini unakua name tyuuh.
Uki fall kwenye love ni ume fall. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hyo ya 200k?? ,,,Inunue kwanza unialike nije nikusaidie kuinusa
Fanya tu ununueNianze sasa kununua pafyum
Hivi hujawahi kuingia ule uzi wa perfume ee😁😁hiiiii kweli acha mbaki kuwa mashemeji.. tushazoe vi marashi vya pemba buku mtoto ananukia safiii.. hizo manukato za laki mbilii unashiba 🙂🙂🙂
Natamani hata nimuombe msamaha, hata km tusiporudiana, ila msamaha wake tyuuh ntaponaaa.Huu mwandiko umejaa masikitiko..pole sana.
Kama imepangwa kuwa pamoja basi atakuja Kwa namna nyingine hata usijali
Nayaona af yana giza hatari, mtu ukiingia humo unaweza kuzama tusikuone tena tukaishia kuimba parapanda😂si umeona mapango ya amboni hayo au huoni 😄😄😄
Upo vizuri Sana..nimezipendaYah nimepika
Yeaaaaah dear.Hakika dear
Love doesn't ask why
It speaks from the heart
And never explains
Don't you know that
Love doesn't think twice
It can come all at once
Or whisper from a distance
Vyema sana 😃😃Point haiko kwenye aina za magari!
Shida ni memories za hiyo brevis! Only that!..
Na ununue tyuuh Dr. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nianze sasa kununua pafyum
Daaaah nkihesabu mara ngapi nimewahi pokonywa tonge na wenye magari,, [emoji23][emoji23]Wala hata,, magari mnaya overrate sana kwenye suala la mahusiano na wanawake.
Utaachwa tuMtakuja kufa midomo wazi
Kwa kweli[emoji28][emoji28] iIi nami nipendweFanya tu ununue
Hizo uzi za watu smart smart, sio mabeberu wa kazi gani.. Perfume huwa nazisikia tu kwa wana.. mie toka niumbwa sijawai tumia hiyo kama vile ambavyo pombe haijawai ingia kichwani.. alafu na mie wa maajabu eeh 🙂🙂🙂🙂Hivi hujawahi kuingia ule uzi wa perfume ee😁😁
Jirani wewe huna wivu...mbele ya Brevis jirani😀😀
twende siku moja basin😄😄Nayaona af yana giza hatari, mtu ukiingia humo unaweza kuzama tusikuone tena tukaishia kuimba parapanda😂
Umeniquote wrong.nimekwama haifiki..okHyo ya 200k?? ,,,
Hapana chris adams inanitosha aki
[emoji23][emoji23][emoji23] DaaahHakika dear
Love doesn't ask why
It speaks from the heart
And never explains
Don't you know that
Love doesn't think twice
It can come all at once
Or whisper from a distance
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usiwe unaingia miguu yote, unaanza kwan mguu m1 km makitaimu, hujasoma Cuba wee?Me wananikera sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa sababu nikijiangalia,. Uwaga nafall before hata kujua mtu ananini.
Imagine mapenzi ya kijf,, saa ngapi nitajua una gari? [emoji23][emoji23][emoji23]
When you fall in love, it is a temporary madness. ...Yeaaaaah dear.
Love is blind. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]