kipenziii kwann umeulizaaa? Nilikosea sana si unajua utoto tena nilileta penzi la kiselaa, afu hatukuachana vizuri, nilitibua mnoo, daah ukubwa huu ndo najua nilikua nipo wrong.
Namtakia maisha marefu na baraka telee yule mwambaa, sidhani km itatokea tena tukawa Pa1, maana cna mawasiliano almost 1 yrs now.