Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Sio sawa kabisaKwani ni nani huyu eti? Kanitibua mnooo.
Sio sawa kabisaKwani ni nani huyu eti? Kanitibua mnooo.
Hebu muambieni huyo kiumbe aache unaa wake, sijui anawashwa nn.Mkeka unachanika itakuwa tukiomba picha hadi tugalegale chini
Mbona kama x wangu huyuView attachment 2276200
Mimi huyo nimevaa sweta lenye rangi za bendera ya Tanzania. Nasuburia 7600 yangu.
Wenye mawazo mabaya sasa😁😁😁 utanifanya nionekane shindikanaa wa kimataifa
Wadada wa hivi wanachamba hao kheeView attachment 2276200
Mimi huyo nimevaa sweta lenye rangi za bendera ya Tanzania. Nasuburia 7600 yangu.
Wasiojulikana haoYaan kanitikisa kibofu cha mkojo hapa, huyu nani kwanzaa? Ni ingizo jipya au n mtu kabadili jina?
Kazingua sana. Hatufanyagi hivyo ni kukoseana adabu.kaniboaaaah
Afu hafuti, kaiacha tyuuh, anakera huyu mtu, aaaah watu tutatoka ktk huu uzi. Yaan kanitibua huyu.Sio sawa kabisa
😄😄😄😄 mawazo yako tuuuUnazingua aiseeee
Bouya kabisa 😂😂
Kumbe watu wapo kimyaa wanasave picha za humu mmmmh.Wasiojulikana hao
report picha mod naifuta hapa chap 🙂🙂Afu hafuti, kaiacha tyuuh, anakera huyu mtu, aaaah watu tutatoka ktk huu uzi. Yaan kanitibua huyu.
Picha ilishatumwa mda, yeye anairudia ya nn hapa.Kazingua sana. Hatufanyagi hivyo ni kukoseana adabu.
Haya futa wee modes, si hiyo hapo juu.report picha mod naifuta hapa chap![]()
Picha gani hyo embu itume tenaPicha ilishatumwa mda, yeye anairudia ya nn hapa.
Watasababisha watu waache kabisa kuweka picha hapa.Afu hafuti, kaiacha tyuuh, anakera huyu mtu, aaaah watu tutatoka ktk huu uzi. Yaan kanitibua huyu.
umeisha report kwenye buton hiyo maana na jamaa yupo ofiline ,Haya futa wee modes, si hiyo hapo juu.