Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeona connection ya baunsa? Wanaume wameisha, hata usiowategemea mwayaaa, nao wako ndani ya industry, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbavu cna hapa lol.
[emoji2][emoji2] baunsa
 
[emoji2][emoji2] baunsa
Tena mbavu nene, six packs hadi unaogopa, hilo uno analokatia ukuni, mwanamke anakaa chinu kuchukua notes. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nsha solve mwenyeweee, hilo lisikupe shida, wee c ulisema utakua hapa leo wee?
Sasa nimekuuliza wapi leo na wewe una nata nata kama bao .. mie nimekupa hadi code.. chaka langu kule juu unaupita msikiti unakuwa kama unaenda kanisani.. napakigi kule nalala nasubiri kuwapa lift wanafunzi wanaotokea hostel πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu hapa hata Co umbea, ni vile nilingilia penzi la watu, mie niliombwa ushauri, kosa langu nn sasa.
Ila watu daaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nyingine usirudie [emoji23] wakipatana unaonekana mbaya wewe
 
Tena mbavu nene, six packs hadi unaogopa, hilo uno analokatia ukuni, mwanamke anakaa chinu kuchukua notes. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji2][emoji2] hee hatari
 
My dia badae badae nashindwa kujifotoa hapa nilipo. Mambo yako vipi lakini??
hata za zamani zamani kama zipo.. πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚. mambo yapo tu siku haindei paka mda huu bado mpira ni bira bira
 
Siku nyingine usirudie [emoji23] wakipatana unaonekana mbaya wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nachambwa huko, hadi baas, afu sasa mwanaume ndo anaetokwa povu lote hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…