Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
hatuwapendi hata 😃😃😃 kwanza hamtuongezeo kitu, zaidi ya kutumia tuu bora mmbaki na hao ma big boy uchwara 😄😄😄Jikazeniii kiumeee
Hata kama mwaumia
Taarabu enzi hizo
hatuwapendi hata 😃😃😃 kwanza hamtuongezeo kitu, zaidi ya kutumia tuu bora mmbaki na hao ma big boy uchwara 😄😄😄Jikazeniii kiumeee
Hata kama mwaumia
Taarabu enzi hizo
Mbona hamuwapost kama mnajivunia nao?😂😂ndio pametukuza huko 😃😃😃 nyie waharibifu, wale walitujenga 😃😃😃 wametulea enzi tunatembea kutoka Buguruni to city center 🤣🤣🤣 to kimara paka kibaha kwa miguu
😃😃😃 mbona hampendezagi sasa, maana kama hivyo mlivyo ndio mmependeza basi hasara tayari 🤣🤣🤣🤣Mwanamke matunzo kijana wangu,, sio ufanye kusifia umependeza kibaoooo na hujatoa hela ya ilo vazi… mhh 🤣
Tunawaongezea storyhatuwapendi hata 😃😃😃 kwanza hamtuongezeo kitu, zaidi ya kutumia tuu bora mmbaki na hao ma big boy uchwara 😄😄😄
Aah wapi😂😂😃😃😃 nikipost kuku wangu wa kienyeji hapa.. mtakimbia wenyewe hapa 😃😃😃😃
Kupendeza we una kudefine vp? Nijibu kwa hoja, usianze kulia😃😃😃 mbona hampendezagi sasa, maana kama hivyo mlivyo ndio mmependeza basi hasara tayari 🤣🤣🤣🤣
😃😃😃.. mtaturoga bure.. muanze kusemaa ooh! Nations hajatuona humu.. kaenda buguruni.. mnaa maana sasa nyieMbona hamuwapost kama mnajivunia nao?😂😂
Sio hatuwezi ni hatutakiiiiihivi hamuwezi tafuta zenu hadi mtake zetu tuu 😐😐😐😐
😄😄😄 mie nilie au wewe utaliaKupendeza we una kudefine vp? Nijibu kwa hoja, usianze kulia
🤣🤣🤣🤣🙌😃😃😃 mbona hampendezagi sasa, maana kama hivyo mlivyo ndio mmependeza basi hasara tayari 🤣🤣🤣🤣
Halafu kutwaaaa wapo kwetu kwa sie tusiopendeza 😁😁Mbona hamuwapost kama mnajivunia nao?😂😂
🙎🙎🙎🙎 basi nyie bakini na hao big boy, acha kuku wa kienyeji watupe maishaSio hatuwezi ni hatutakiiiii
Utalia wewe😄😄😄 mie nilie au wewe utalia
Sema tu ndio vile mtafanyaje sasa hamna namna.😃😃😃.. mtaturoga bure.. muanze kusemaa ooh! Nations hajatuona humu.. kaenda buguruni.. mnaa maana sasa nyie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 najua unatania😋😋😋😋😋 dah noma sanaaa.. kweli watu wanafaidi.. wengine huenda hadi tukafa tunaweza jikuta hatujawai fumania nyavu kama hii 🥲🥲🥲
😃😃😃😃 mie huyu huyuu.. nilie huku hapa kuku wa kienyeji ana pasha maji kwenye mafiga matatu.. nikaogeshwa na maji ya hiriki.. we ushawai mfanyia hivyo big boy wako 😄😄Utalia wewe
Big boys wanajua majukumu yao🙎🙎🙎🙎 basi nyie bakini na hao big boy, acha kuku wa kienyeji watupe maisha
Our very own photogenic 😘Mtoto mzuri😘😘
Na kuscreenshot picha zetu tukipost😂😂Halafu kutwaaaa wapo kwetu kwa sie tusiopendeza 😁😁
Natani wapi ndio hivyo hadi leo bado nakula polygon tu, sema zinajua michezo kwenye 4 by 4 🤣🤣🤣 ila hata kutembea nae soo.. mida yetu ni usiku ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 najua unatania