Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
😋😋😋😋😋 dah noma sanaaa.. kweli watu wanafaidi.. wengine huenda hadi tukafa tunaweza jikuta hatujawai fumania nyavu kama hii 🥲🥲🥲Have another one! View attachment 2275729
Kaa hapohapoNapenda kuona picha yako Heaven Sent kama nilivyoona picha ya mkuu Depal
Mtoto mzuri😘😘Have another one! View attachment 2275729
Shida mkiambiwa ukweli mnatusema tunawatukanaau sio mmeona mtutukane 😬😬😬😬😬...
kwendeni huko 😃😃😃.. nyie wafirisi au wapenzi 🤣🤣🤣🤣Shida mkiambiwa ukweli mnatusema tunawatukana
Izo dimple ndo zinakupa confidence ya kujbu ovyo waleta posa weweHave another one! View attachment 2275729
Na Sombetini 🤣Nenda kwa wa Buguruni na Buza
hata kisera cha nyuma ya gari basi 🙎🙎Wa furend zoneee
Wapenzi siekwendeni huko 😃😃😃.. nyie wafirisi au wapenzi 🤣🤣🤣🤣
DimpozHave another one! View attachment 2275729
Hivyo mpaka tulewe, na siku hizi tumeacha pombehata kisera cha nyuma ya gari basi 🙎🙎
ndio pametukuza huko 😃😃😃 nyie waharibifu, wale walitujenga 😃😃😃 wametulea enzi tunatembea kutoka Buguruni to city center 🤣🤣🤣 to kimara paka kibaha kwa miguuNenda kwa wa Buguruni na Buza
kwanza hata hatuna shida 🙂🙂Hivyo mpaka tulewe, na siku hizi tumeacha pombe
Tafuta hela kijana, mwanamke hafilisi kama unazo za kutosha🤣🤣🤣kwendeni huko 😃😃😃.. nyie wafirisi au wapenzi 🤣🤣🤣🤣
😃😃😃 nikipost kuku wangu wa kienyeji hapa.. mtakimbia wenyewe hapa 😃😃😃😃
Ndiooo😂😂Na Sombetini 🤣
hivi hamuwezi tafuta zenu hadi mtake zetu tuu 😐😐😐😐Tafuta hela kijana, mwanamke hafilisi kama unazo za kutosha🤣🤣🤣
Jikazeniii kiumeeekwanza hata hatuna shida 🙂🙂
Mwanamke matunzo kijana wangu,, sio ufanye kusifia umependeza kibaoooo na hujatoa hela ya ilo vazi… mhh 🤣hivi hamuwezi tafuta zenu hadi mtake zetu tuu 😐😐😐😐