Hehehehe siku nichefue nimwambie awauesitaki hata kumsikia.
Okay dearHasa yoni ndo nn tena jmn
Khaaaa🙌🙌🙌🙌Zipo mpaka dawa za kuondoa mnato eti mbususu iwe kavu mwanaume afaudu msuguano wa nyama kwa nyama. Watu wa harakati za UKIMWI wamepambana kweli kweli na sijui kama walipiga hatua kulitokomeza hili.
Yaani wanawake kusema kweli huwa wanatuhangaikia sana ili turidhike kumbe sisi wakati mwingine tunachojali ni mtako tu kama upo basi roho kwatuuuu
Nimefundisha katika mabara matatu tangu nikiwa kijana wa 30s huko miaka ya mid 70s...na sijawahi kamwe kugegeda mwanafunzi...
Huwa nawachukulia kama wanangu tena kama hivi vya sasa vidogo vinatia huruma japo vinajifanya vinajua kila kitu.
Kuna heshima fulani ukijulikana kuwa wewe ni mtu wa principles na hakuna mchezo mchezo....
Mjukuu will be safe with me
bila hvyo vipipi ankoli hatangazi ndoa, upooo shangaziii?
Kauli/ maneno laini ni mchawi mkubwa sana kwetu mngejua tu.
🤔🤔asanteOkay dear
Yoni pearls huitwa lulu za kuondoa sumu kwenye uke, ni mipira midogo iliyofunikwa kwa kitambaa iliyojaa mimea, kama vile: motherwort malaika borneol rhubarb rhizoma osthol Lulu ,hizi za nguo huingizwa kwenye uke wako kwa saa 24 hadi 48 kwa kutumia kupaka plastiki.
Hapana mjukuu.Huu uwongo wenu unawasaidia nn? Kuweni wakweli mnaogopa kufanywa misukule.
Samahani ankoli
Bora wewe usiyetumia hayo madude na bado nakupenda bure
Vipipi wanatafuna aiseesasa nikitia vipipi alafu yeye atailowekea wapi hawanaga wivu kuacha vipipi vinafaidi utamu wa mabby zao
Huko sio kumfurahisha sasa ni kujitafutia kansa tu ndo maana magonjwa ya kutoa harufu hayaishi utaona vinakusaidia mwanzo lkn unaharibu maumbile yako ukijakushtuka Rambo hili hapa
Vinipitege tu
Yeah wanavitangaza sana huko IGasante
Eeh kuna mambo kumbe
Daah huku nikujielewa kwa kiwango cha SGR.Nimefundisha katika mabara matatu tangu nikiwa kijana wa 30s huko miaka ya mid 70s...na sijawahi kamwe kugegeda mwanafunzi...
Huwa nawachukulia kama wanangu tena kama hivi vya sasa vidogo vinatia huruma japo vinajifanya vinajua kila kitu.
Kuna heshima fulani ukijulikana kuwa wewe ni mtu wa principles na hakuna mchezo mchezo....
Mjukuu will be safe with me
Yaani kweli unaweka kalamu tu nkamu? Si ungejitahidi angalau vile vidole laini vikaonekana.Wakati wengine wamelala huku sisi bado tunapambana daah
Kuna kitu nimejifunza kutoka kwakoHiyo naisikiaga hapo Times fm wanaitangaza
Ni vitu viwili tofauti
Wanatoa ushuhuda mzuri perhaps inawasaidia .