Nawashauri mjiweke mbali na kuchokonoa injini dada zangu, mara nyingi huwa majuto baadae.
Kuna kudanganyana sana huko masalon kwenu, mara vitunguu swaum mara nini.
Ni hatari mno.
Wengine badala ya kubana hutepeta au hata kutoa harufu.
Ridhikeni dada zetu