Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,433
Tunaruhusiwa kuongezea increments ya miaka mitano mitano kwa mkataba hata baada ya kustaafu Mama Mchungaji. Ni mpaka 80 nadhani ndo mwisho. Bado nina miaka mitatu hivi Mungu AkipendaKumbe sio mstaafu bado
Mbona utatamani kuhama nchiHadi uchunguzi uje ukamilike; umekoma umekomazika. Bado home na kwa wananzengo; utapewa mahubiri hadi utamani Yesu arudi leo
Vibabu ni vya kuwaepuka kwakweliNdo maana Baba Mchungaji anawaasa sana mkae mbali na vibabu....
Yeah!
Siyo tukio jema kwa kweli....
Nimekumbuka ule wimbo wa Monday to Monday Mama Mchungaji. Nostalgic!In Harmojala mood
Kwa pamoja tutazame hapa tulipo,
Panatuonyesha picha ya mbali huko tuendako mpenzi.
Mengi utasikia yakisemwa usiyaweke moyoni,
Kuteleza inatokea mambo ya ndani usiyaweke hadharani.
Kama ndege juu turuke angani wote
Unishike nikushike ili tuwe wote mpenzi
Mvua ikinyesha iwe baraka ya penzi letu, lolote likitokea basi tuanguke na tufe wote.
Wengine amani tuliyonayo kidogo wanaiota hawana,
Tena pengine pesa si tatizo vipigo, kati yao upendo hakuna
Heri yetu sisi
Tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote)
Tushukuru kwa yote kipenzi changu
Tushukuru kwa yote
Asiyenipenda hakupendi hata siku moja,
Siku tunaachana ndo wanachongoja
Asiyenipenda hakupendi hata siku moja
Siku tunaachana ndo wanachongoja
Juzi nilikosea, nikakukuta unalia machozi Nilipokuomba radhi ukaelewa, samahani ikaokoa penzi.
Wengine amani tuliyonayo kidogo wanaiota hawana tena pengine pesa si tatizo vipigo kati yao upendo hakuna
Heri yetu sisi
Tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote)
Tushukuru kwa yote kipenzi changu
Tushukuru kwa yoteView attachment 2274391
Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU awalinde dhidi ya STD na HIV hawa watoto wetuNimefundisha pale zaidi ya miaka 10. Hakuna jipya ambalo silijui pale. Hata kuanzia 2022 - 2023 academic year nitakuwa hapo...God willing
Mabinti wanaponzwa na tamaa lakini pia wengine ni kweli wana hali ngumu kiuchumi hasa hawa wanaotoka mikoani huko familia za kawaida hawana ndugu mjini na HESLB nao wanawazingulia. Ni shida tupu yaani!
Nakudogosha kiaje wakati ndy ukweli huoYan kwamba me ni wa 97
Mbona kunidogodisha jamani
Namwona mtoto wa mtu yakimtokea haya huko mbele
Huyo hata ubwabwa wa shingo haujamtoka.Tantalila Tu zimemjaa mdomonimuambie awe NIDA yake.. akiwa hata kama kafisha 28.. mbingu ita hama
Vijana watakupa stress mpaka uchakae π€£π€£Af nifungwe maisha niache hizi raha za dunia mzifaidi wenyewe akuuuπ€£π€£π€£
πππππNamwona mtoto wa mtu yakimtokea haya huko mbele
Wacha Tu azidi kuniambia namtongoza kikoloni
Sema suuuu nikuumbue?πππππ muambie awe NIDA yake.. akiwa hata kama kafisha 28.. mbingu ita hama
Namsemea..suuuSema suuuu nikuumbue?
19920807- 1431111-00000-119Namsemea..suuu
π¬π¬π¬π¬π¬Sema suuuu nikuumbue?
Kama ndege wa anganiNimekumbuka ule wimbo wa Monday to Monday Mama Mchungaji. Nostalgic!
Hahaha AMENTunaruhusiwa kuongezea increments ya miaka mitano mitano kwa mkataba hata baada ya kustaafu Mama Mchungaji. Ni mpaka 80 nadhani ndo mwisho. Bado nina miaka mitatu hivi Mungu Akipenda
Acha tuMbona utatamani kuhama nchi
Mashost lazima wakukimbie ndio wasionekane nao wana tabia kama yako.
Maisha yatabadilika, hadi yarudi kuwa normal watu wasahau aloo utakua ushakonda sanaa
Mie nakulaVijana gani ? Hao wanaokula chips zege isiyokauka vizuri na mayonnaise?
Wakwendeeeee