Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,433
Nimefundisha pale zaidi ya miaka 10. Hakuna jipya ambalo silijui pale. Hata kuanzia 2022 - 2023 academic year nitakuwa hapo...God willingWa kishua eeh ...Sasa aache kupita na wastaafu wenzio hapo UD
Wana energy ya kutosha lakini, hata mkivamiwa na wanyama wakali vijana wanaweza kupambana🤣🤣🤣Vijana gani ? Hao wanaokula chips zege isiyokauka vizuri na mayonnaise? 😂😂
Wakwendeeeee 😂🤣🤣🤣
Outing inageuka semina badala ya kuenjoy the moment😂😂pale pale pa siku zote .. tupeane maraha vijana kwa vijana na wazee kwa wazeee.. unakaa na mzee anakupa anaanza lisala zake 😄😄😄 za abunuwazi
Wazee wabaki na wazee wenzao.. au ndama wazemben😄😄😄Outing inageuka semina badala ya kuenjoy the moment😂😂
Ndio mambo gani sasa
Nitakujaaa
Naomba nisijue Asee!Duh..unajua maana ya kiboga???
😂😂😂😂Wana energy ya kutosha lakini, hata mkivamiwa na wanyama wakali vijana wanaweza kupambana🤣🤣🤣
NdioooWazee wabaki na wazee wenzao.. au ndama wazemben😄😄😄
Unadhani miaka 30s ni makalio kwamba kila mtu anayoNakiri sijadharau wanaume
Ila Mwanaume wa 25 atananikataza nini nimsikie mie bibi wa 30s??
😄😄😄 mwisho mzee afie kitandani upate kesi ya bureNdiooo
Na vijana tuenjoy wenyewee
😂😂😂 au sioUnadhani miaka 30s ni makalio kwamba kila mtu anayo
😄😄😄😄😄 muambie awe NIDA yake.. akiwa hata kama kafisha 28.. mbingu ita hamaUnadhani miaka 30s ni makalio kwamba kila mtu anayo
Toka umefikisha mika 25.6 unajiona kakubwaa 😄😄😄😄 matoto ya 90+ mna taabu sanaaa😂😂😂 au sio
Af nifungwe maisha niache hizi raha za dunia mzifaidi wenyewe akuuu🤣🤣🤣😄😄😄 mwisho mzee afie kitandani upate kesi ya bure
Usiogope. Ukizimikiwa na kibabu hakuna kesi bageshi. Unakwenda kituoni unaandikisha maelezo tu na autopsy ikionyesha kuwa kimezimika tu chenyewe kwa raha zake basi huna kesi.Af nifungwe maisha niache hizi raha za dunia mzifaidi wenyewe akuuu
Kumbe sio mstaafu badoNimefundisha pale zaidi ya miaka 10. Hakuna jipya ambalo silijui pale. Hata kuanzia 2022 - 2023 academic year nitakuwa hapo...God willing
Mabinti wanaponzwa na tamaa lakini pia wengine ni kweli wana hali ngumu kiuchumi hasa hawa wanaotoka mikoani huko familia za kawaida hawana ndugu mjini na HESLB nao wanawazingulia. Ni shida tupu yaani!
Bageshi😂😂😂Usiogope. Ukizimikiwa na kibabu hakuna kesi bageshi. Unakwenda kituoni unaandikisha maelezo tu na post mortem ikionyesha kuwa kimezimika tu chenyewe kwa raha zake basi huna kesi.
Sema labda kuathirika kisaikolojia maana imagine ndo kifo cha mende halafu kibabu cha watu ndo kinazima. You gonna need therapy for years...
Kwa kweli ni bora tu mkomae na vijana wenzenu huko
MmmmmmmmmhVijana gani ? Hao wanaokula chips zege isiyokauka vizuri na mayonnaise?
Wakwendeeeee
Hadi uchunguzi uje ukamilike; umekoma umekomazika. Bado home na kwa wananzengo; utapewa mahubiri hadi utamani Yesu arudi leoBageshi
Nikisomaga tu hizo habari hua nashindwa kuimagine mhusika anajifeel aje, unawexa tamami ardhi ipasuke udumbukie chibwii upotelee huko.
Hizi mambo zingine zisikie tu kwa watu jamani usiombe zikutokee
Ndo maana Baba Mchungaji anawaasa sana mkae mbali na vibabu....Bageshi
Nikisomaga tu hizo habari hua nashindwa kuimagine mhusika anajifeel aje, unawexa tamami ardhi ipasuke udumbukie chibwii upotelee huko.
Hizi mambo zingine zisikie tu kwa watu jamani usiombe zikutokee