Selfika na JF: Snap it. Show it

Si inategemea na ntu na ntu, wastaafu wana shida gan? Km urungu wake unafanya kazi na mapene anayo, kwann nivunge? Namsanukia na kupita naye hiviii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenishinda..Mzee wangu Shimba ya Buyenze njoo umalizane na mjukuu wako huku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leta madini, letaaaaa.
 
Umesharanduka..Tafuna muwa upunguze makali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…