Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kamshono + rangi yako = Perfect[emoji108]

Na umejaladia vzuri[emoji23][emoji23]
Yaan nna heka heka, kupendezaa ndo nataka.
Naanza mdogo mdogo, msije shangaa baadae designer na model mpya mjini.
Ntataka niwe international zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2E3D6B75-E3F0-481F-B6EF-F510FE1E980C.jpeg
 
Yaan nna heka heka, kupendezaa ndo nataka.
Naanza mdogo mdogo, msije shangaa baadae designer na model mpya mjini.
Ntataka niwe international zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂
Na hekaheka unaziweza balaa

Hapo jitahidi tu umaintain hiyo body usipate kitambi 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hekaheka unaziweza balaa

Hapo jitahidi tu umaintain hiyo body usipate kitambi [emoji23]
Kitambi? Kheeeeh navo maintain ka body haka.
Yaan nataka nifanye mazoezi kidg niweke umbo la kutenganisha kiuno na take, yaan umbo fulaan hivi, sijui nielezeje, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo ntakua nshamaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom