Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Kichwa inawaka moto ukifikiria tar za kulipa cha watu Imefika 😂😂😂Hii michezo itatutoa roho haki ya nan🤣🤣
Umeamka poa shost angu?
Niko poa kabisa, sema baridi kama lote…
Kichwa inawaka moto ukifikiria tar za kulipa cha watu Imefika 😂😂😂Hii michezo itatutoa roho haki ya nan🤣🤣
Umeamka poa shost angu?
Wajumbeee 😍😍Kitu inanukia hii balaa😍
Sasa shangazi si uolewe tuache kuuliza uliza 😅Asante Kwa ujumbe.
Swali namba nne huwa linanikwazaga hasa la kuolewa
Waoaji hawaonekani hakyamama tena ni mwendo wa kuwindana.cha msingi tuendelee kujenga nchi😁Sasa shangazi si uolewe tuache kuuliza uliza 😅
Utanitetea tuSidhani km nitakutetea![]()
Mimi pia aise..umekuwa adimu sanaChanguuuu nilikumis sanaa
Assalam Aleykum jirani..Salam kwenu...
Uko poa lakini? Daaah siku nyingi sana ..mihangaiko ya hapa na paleMimi pia aise..umekuwa adimu sana
Wapo bana 😁😁Waoaji hawaonekani hakyamama tena ni mwendo wa kuwindana.cha msingi tuendelee kujenga nchi😁
Waalaykum Salam jirani..Assalam Aleykum jirani..
Sijambo, nakuona..Waalaykum Salam jirani..
Hujambo,
Hao wa Uko wa napiga sana.hivi hauna kaka yako mrefu hivi mwenye upendo wa agape tuunganishe upendo wangu wa Yesu tuunde familiaWapo bana 😁😁
Njoo huku Longido wamejaa, ni kuchagua tu
Niko poa sana ninamshukuru Mungu.Uko poa lakini? Daaah siku nyingi sana ..mihangaiko ya hapa na pale
nipo jirani..Sijambo, nakuona..
Unatamani ujisahaulishe ile wapiKichwa inawaka moto ukifikiria tar za kulipa cha watu Imefika 😂😂😂
Niko poa kabisa, sema baridi kama lote…
Hatari sana wajumbeWajumbeee 😍😍
Unaanzia wapi kujisahaulisha 😁 wajumbe watakutoa masikio..Unatamani ujisahaulishe ile wapi
We jana usiku si ulienda kununua sweta, hukupata la size yako au ulikuta yameisha?😂
Coca tuma namba yako,,kwan ukinitumia namba yako kuna ubaya gan!nambie nijue memeAkaaaah tuma ya halotel