Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

tutaenda shangazi nitafutie mshono konk alaf akifika ankowako naanza kupiga deki usisahau kawe kna mpasuo
Nakuambia utaachwa, we ukisikia wapi ukifika kwa ankoli inaanza piga deki, salimia majirani kwanza wakupe habari za hapo.
Afu wee tulia tyuuh, akikutuma dukan jua wee ndo meini chiki, akienda mwenyewe, vaa skuna zako usepee,

Imeishaaaa hiyoooo, hujasoma Cuba wee?
 
Back
Top Bottom