Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu wa degree anatupwa kufundisha mtoto wa std 5, mie sitaki, leo nacheka tyuuh.
Ndivyo inavyofanyika karibu duniani kote. Kuanzia walimu wa pre-K na kuendelea. Wanatakiwa wawe na angalau shahada ya kwanza katika Early Childhood Education. Sisi tulichelewa kidogo....[emoji1420]
 
Ndivyo inavyofanyika karibu duniani kote. Kuanzia walimu wa pre-K na kuendelea. Wanatakiwa wawe na angalau shahada ya kwanza katika Early Childhood Education. Sisi tulichelewa kidogo....[emoji1420]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitaki yaan nisome kwa ki Bibi Elizabeth, afu nifundishe ki mwambao, nehiiiiiiiii.

Leo nacheka, muhusika mwenyewe hajapenda, na alivyo vile woiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…