myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Jirani...Kama kawaida, kuisha utaisha tu ila inabidi utulie tuucheleweshe π
Abee jiraniJirani...
Nakuja kula..Abee mkuu
Uje na coka jiraniNakuja kula..
Coke zero....Uje na coka jirani
π π π emu niwacheeHata kutukaribisha
Mdada mzuri ila uchoyo sasa
Kama kawaida ππCoke zero....
Kama kawaida jiraniKama kawaida ππ
ππππ maisha haya bestie bila bajeti za hapa na pale, tutachelewa kutoboa.Nilivyo na bajeti aisee huo ukishua nautolea wapi .. nanunua kisamvu cha jero nakipika mara mbili
Nikirudi nakitwanga Kwanza then nakaigandisha ππ
ubahili huu ππ
[emoji1787]Bachelor gani unaishi kwenu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Subirini kidogo πTuone hiyo recipe
Kitakuwa kimependeza na kitamu balaa
Ah sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha haya bestie bila bajeti za hapa na pale, tutachelewa kutoboa.
Shoutout kwa bajeti akee [emoji91]
Haya dearSubirini kidogo [emoji23]
Jirani tuongozaneNakuja kula..
Sawasawa jiraniJirani tuongozane
π₯π₯π₯π₯π₯
Nostalgia πKabla sija play huu wimbo, nilijua ni siku kama hizii ... basi kama mateso sasa ndio nayapata... hiki kipande huwa nakipenda sana
πππ acha tu.. unafurahi hata kumtazama tu.. ona hakaπ₯π₯π₯π₯π₯
β‘πβ‘πβ‘
Hatari