Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Dr kuna nn kwan?
Hivi unajua Mimi sijawahi kuona picha yako hata moja humu? Kila nikiotea nakuta manyoya Tu[emoji28]
Kuna wewe,Tinsley na mama mchungaji Heaven Sent naishia kuona miguu Tu [emoji28]

Angalau Jana nimemwona mrembo Antonnia nikafurahi,Ila wewe...!!
 
Pole chief
Nikitulia nitakusimulia labsa unaweza kua na picha ya kufikirika[emoji16][emoji16]
Jana nilkua na bahati ya mtende
Maana naona Tu mnavyosifia mtoto mweupe km mzungu,mtoto anang'aa.Kila nikitafuta hizo picha nakutana na manyoya Tu dadeki[emoji28]

Leo usiku nitawasha data na kuweka notification on,naomba unitag
 
Back
Top Bottom