Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi unajua Mimi sijawahi kuona picha yako hata moja humu? Kila nikiotea nakuta manyoya Tu[emoji28]
Kuna wewe,Tinsley na mama mchungaji Heaven Sent naishia kuona miguu Tu [emoji28]

Angalau Jana nimemwona mrembo Antonnia nikafurahi,Ila wewe...!!
Mbna mie niko hapa sana, tena buli buli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom