Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,225
Noma sana, so soft.
Ndy nini sasa jumapili yote hii hii nimetoka na upako kanisani alafu nakutana na lipsi denda hivi jamani? Nimeshatoka ktk uwepo asee

Yah, tatizo naingia Kwa kuvizia na mara nyingi unapiga hata wiki sijaingia humuMbona wanaweka sana tu mkuu Utakua unapishana nazo labda!!
Upako wote umepotea ndani ya sekunde mkuu 🤣Ndy nini sasa jumapili yote hii hii nimetoka na upako kanisani alafu nakutana na lipsi denda hivi jamani? Nimeshatoka ktk uwepo asee![]()
Nashukuru Kwa kunitag..nimependa moyo wako mzuri wa kutaka tusafishe macho wote

Usiwe na shaka utanikumbusha tuuAfu sijasahau ujue, nasubir mwenzio.
Dah..Kwa kweli mbinguni tutaenda Kwa neema Tu,Ila Kwa jitihada zetu hatuwezi.Upako wote umepotea ndani ya sekunde mkuu![]()
Naomba upost na wewe basiHebu Wahi juu uone lips za mrembo Tinsley sasa ameshatupia
Asante sanaNoma sana, so soft.

HahahahaNdy nini sasa jumapili yote hii hii nimetoka na upako kanisani alafu nakutana na lipsi denda hivi jamani? Nimeshatoka ktk uwepo asee![]()

Si bora we ulikua ushatoka mkuu 🤣Dah..Kwa kweli mbinguni tutaenda Kwa neema Tu,Ila Kwa jitihada zetu hatuwezi.
Imagine natoka kanisani nikiwa na upako ghafla nakutana na lipsi km hizi mkuu
Niliwaombea Wana jf wote.Ah
Vizuri sana mkuu bila shaka ulituombea nasie!!
Hongera mnooo kwani wanaume wengine usafi kwao ni changamoto kidogo!! Nimeipenda hio!
ThanksLips![]()
