Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Soma neno
 

Attachments

  • IMG_20220617_082302_552.JPG
    IMG_20220617_082302_552.JPG
    90.4 KB · Views: 10
Mama malezi.

MK ameanza kuokoka, wokovu umemfikia ameanza kutoa neno.
Ila yule asipopata mtu wa counselling anaweza kujiua.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kachanganyikiwa na kupagawa hadi huruma.
Weee lini hiyo tena? Mungu amsaidie jamani; itakuwa Yale mambo yake yanamchanganya
 
Wa kwetu ndiyo...

Wa huku walishanishinda mjukuu.

Huwa napiga tu na kusepa. Ujichanganye kwa Black American we. Mbona hakuna rangi ambayo utaacha ona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kuna kisa cha kula kimasikhara nakimalizia nitakutag kule kwenye uzi wao [emoji16][emoji16][emoji16]

Naona hii wine inataka kunizidia
Niliyavagaa kwa mpopo m1 yule mbwa hata staki kumuonaa mie lol.
Mbna black Americans nawapenda mnoo mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wazungu bhana mnaendaa cafeteria, ukijua analipa yeye kumbe ujilipie mwenyewe, afu hakupi in4. Khaaaah.

Sitakiiiiiih.
 
Kuna mzozo mkubwa sana kwa wanasayansi hapo kwenye from nothing.....

Ni Biblia gani hii?
Amplified Bible
Mi hizi zilizotafsiriwa hasa kiswahili zinanipa shida
una kitu mara nyingi kina miss,SBB ya kukosa maneno wakati mwingine yenye maana na uzito

Sayansi haiwezi pata majibu hapa
Mambo ya rohoni haya
 
Wa kwetu ndiyo...

Wa huku walishanishinda mjukuu.

Huwa napiga tu na kusepa. Ujichanganye kwa Black American we. Mbona hakuna rangi ambayo utaacha ona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kuna kisa cha kula kimasikhara nakimalizia nitakutag kule kwenye uzi wao [emoji16][emoji16][emoji16]

Naona hii wine inataka kunizidia
[emoji1787]
 
Ili mradi zilike sio [emoji16][emoji16] hizo nyingine ni mbwembwe japo zikiwa nyembamba huwa zinakaa sawa sana na ukute zimepikwa na fundi hajatia hata nyanya [emoji4][emoji4]
Mkuu. Kabeji ni kabeji tu...Hata uifanye vipi ni kabeji tu.

Acha mi nikaangize bana. Nyie mnaokatiwa na mashine shauri yenu [emoji16]
 
Back
Top Bottom