Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Ninunue kimashine?
Kwa pesa zangu?
Wakati nimekua namuona mama akikata kata na kisu tu...
We ulisikia wapi?
Aunt wa middle scul yuko wapi? Si akaangize yeye, au yuko kwa pepa?Mkuu. Kabeji ni kabeji tu...Hata uifanye vipi ni kabeji tu.
Acha mi nikaangize bana. Nyie mnaokatiwa na mashine shauri yenu![]()
Lips 👌😍Sana ngoja nipite na ka tbtView attachment 2272287
Aunt akee huyooooSana ngoja nipite na ka tbtView attachment 2272287
😂hapana acha kunizingua basiMimi niachilie...
Nina upako![]()
Usinikumbushe...Niliyavagaa kwa mpopo m1 yule mbwa hata staki kumuonaa mie lol.
Mbna black Americans nawapenda mnoo mie,
Wazungu bhana mnaendaa cafeteria, ukijua analipa yeye kumbe ujilipie mwenyewe, afu hakupi in4. Khaaaah.
Sitakiiiiiih.
Mkuu. Kabeji ni kabeji tu...Hata uifanye vipi ni kabeji tu.
Acha mi nikaangize bana. Nyie mnaokatiwa na mashine shauri yenu![]()
Huyu boya mpwa wangu namwambia leo hii hii atupe hiyo barua na aanze kupambana upya!Sana ngoja nipite na ka tbtView attachment 2272287



Mrembo😘😘😘Sana ngoja nipite na ka tbtView attachment 2272287
Beautiful coca
Safiii sanaSana ngoja nipite na ka tbtView attachment 2272287
Noma Sana aunt



Bado wewe tu mremboMrembo😘😘😘
Yaani UfalmeLips
Madam toa hiyo emoj utapata dhambi ujue![]()
HSTatizo hukuchota ujuzi brona vimashine ni vile vya plastic Tu au chuma vinakata fresh.. Heaven Sent akupe jina
![]()



Afu ikukute huna hela, utajutaa mbna, woiiiiihUsinikumbushe...
Niko mgeni bado...
Mtu kaniambia twende tukale. Kaniamsha kabisa mi nimelala. Nimsindikize restaurant...
Kufika huko chakula kaagiza chake....na changu
Bill inakuja kila mtu analipa alichokula. Hovyo sana yaani...






Asante haha kaa hapo hapo napita naked sio mda nasubir tamko la auntyanguLips
Madam toa hiyo emoj utapata dhambi ujue![]()

