Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahahaha endelea kula Mana, utaniona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna pahala nipo
Wanaonyesha marudio ya
Mana day 4 Moro
Nakaza jicho nikuone wapi
Kwani ulikaa upande upi[emoji848]
Nasikia tu Zaburi mara Isaya 58
Tena mfungo kwa sababu ipi
Utakesha?Mimi sitalala...
Mtanikuta tu hapa hiyo kesho
KunjaKwa hiyo sisi wengine haturusiwi kukunja nne?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo. Tena jana nimefika home usiku nimelala mpaka saa 8 mchana. Nitakuwa macho mpaka Baba Mchungaji atakapoachilia rukhsa!Utakesha?
Nimeangalia video yote ya siku ya tatu sijamuona Binti Abiudi. Mpaka nimetumia na software ya kutambua uso lakini wapi. Ngoja nile kwanza halafu niendelee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ina nn lakini?Shukrani mjumbe nawe pia uwe na Usiku mwema!!
Ngosha.Kunja
Ila chonde
Usifunike funike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], leo nimechachuka na mdada wa masters, khaaah nimemuoshaa mbna.Umezidi kuzurula na wewe [emoji1787][emoji1787]
Akaaaah tuma ya halotelnataka nitume na ya soda
Imekuaje tena??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ina nn lakini?
Alikufanyaje jamani? Anajuta huko alipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], leo nimechachuka na mdada wa masters, khaaah nimemuoshaa mbna.
Ile comment sikuandka mie, nashangaa imeonesha kwangu, nimeandka mie.Imekuaje tena??
Si ulimuona ya siku ile?Nimeangalia video yote ya siku ya tatu sijamuona Binti Abiudi. Mpaka nimetumia na software ya kutambua uso lakini wapi. Ngoja nile kwanza halafu niendelee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kubania muhimuNdiyo. Tena jana nimefika home usiku nimelala mpaka saa 8 mchana. Nitakuwa macho mpaka Baba Mchungaji atakapoachilia rukhsa!
I hope hatabania sana [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hapana. Sijabahatika kumuona. Nitazipitia za siku zote kwa software na nitamuona tu kama alikuwepo. We sema mjanja ukiselfika humu miemoji kama yote vinginevyo na wewe ningekudabua tu kama unahudhuria hii semina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Si ulimuona ya siku ile?
Nipo zangu venue za masters, nachabo watu, kumbe bhana yeye huwa ananionaga mara nyingi, kanifata nimemsalimia kaniuliza nimefata nn pale nkamjibu kuna mtu nmemfata, akanambia yupi hebu mtaje,Alikufanyaje jamani? Anajuta huko alipo