Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee weekend umeendaje pekee yako? Ndo maana nakununiaga, ushougaa gan huu, au ushouga mboga? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! Nisharudi shos tulienda kama staff tu shos akee!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚aah wapi
Kwamba mie naenda Kwa yoyote atakaetuma?πŸ€”πŸ™†
Hapanaaaa,Kwa anaenihusu....πŸ˜‚

Mzabzab kaa Kwa kutulia,utawaweza ishomile wewe?
Eti Shimba ya Buyenze πŸ˜‚πŸ˜‚ atawaweza?
Alafu nilijua tuu utakuwa ishomile....kumbe wee ni wale ambao mnaelewa chingreza zaidi🀣🀣🀣🀣

Aisee kumbe huku ndio panankfaa yaani nauli natuma fasta tukaloweshe godoro la pale morena😜
 
Alafu nilijua tuu utakuwa ishomile....kumbe wee ni wale ambao mnaelewa chingreza zaidi🀣🀣🀣🀣

Aisee kumbe huku ndio panankfaa yaani nauli natuma fasta tukaloweshe godoro la pale morena😜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚no mi sio ishomile,hujanisoma...
Ila nauliza utaweza ligi na ishomile ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸšΆπŸšΆπŸšΆ
 
[emoji23][emoji23]aah wapi
Kwamba mie naenda Kwa yoyote atakaetuma?[emoji848][emoji134]
Hapanaaaa,Kwa anaenihusu....[emoji23]

Mzabzab kaa Kwa kutulia,utawaweza ishomile wewe?
Eti Shimba ya Buyenze [emoji23][emoji23] atawaweza?
Nshomile wako poa sana na ukimkuta mwanamke wa kinshomile katulia kweli anatulia. Shida ni haya majigambo na show off za kaka zenu waliosoma Harvard na wanaendesha ma-Rolls-Royce. Wataweza kweli kumheshimu kama shemeji yao hasa ikitokea akawa hana hela za kutosha?

Binti Abiudi we nshomile kwani?

Sidhani!
 
Acha kubana hivyo

Ukoje[emoji848][emoji1787][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…