Usiku hulali, na ukilala unaniota tuuuππππ kuna vile vibiskuti, nikila nakuona jamani
Aiseeee....ππππΆBaby corner corner
waka waka When you enter omalicha
Baby corner corner
Will you give me sugar wahala halaπΌ
Majo monalisaaa majo monalisaaa majo monalisaaπΆ
Mlale unono wapendwa!!!π΄π΄π΄π΄
πππWacha tu Satoh Hirosh aumie, mtoto pisi kali
AbeeeeeπΆBaby corner corner
waka waka When you enter omalicha
Baby corner corner
Will you give me sugar wahala halaπΌ
Majo monalisaaa majo monalisaaa majo monalisaaπΆ
Mlale unono wapendwa!!!π΄π΄π΄π΄
Ile barua ilileta mtafaruku mkubwa sana. Dogo anatembea nayo yaani. Nimemwambia ailamineti kabisa aiweke sebuleni akitaka. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16]Kumbe barua ndy sababu? Mwambie kijana wako arudishe moyo
Siyo kweli[emoji28][emoji28]Satoh Hirosh ya kweli haya?
Tena kama leo!!! Naona ndio nitaweweseka π π€£π€£Usiku hulali, na ukilala unaniota tuuu
π€π€πππππππ mama pasta wajua napenda mziki mie!!πAbeeeee
πππ Loe hulali kabisaa na ndio nia yanguTena kama leo!!! Naona ndio nitaweweseka π π€£π€£
Eeeh nalijua hiloπ€π€πππππππ mama pasta wajua napenda mziki mie!!π
Usinifanyie hivyo shoga, we ndio mchizi wangu ujueππππSikaushiiiii
Napanda juu ya dari na kipaza sauti π€
Asee[emoji28][emoji28]Aliprint ile barua anatembea nayo. Kila akiisoma chozi hiloo basi mi mbavu sina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bila konfidensi katika dunia hii ya wababe akina Hirosh mbona kazi anayo?
Ndiwooooo!!π€π€π€π€π€π€Aiseeee....πππ
Hatujagombana ππSiyo kweli[emoji28][emoji28]
Narudia tena Depal ana mtu anapendana nae sn,tena ni wa humu humu? Alafu Kwa nini kabadilisha avatar kagombana na Mzee Baba?
Dah!Eeh ametuahidi hapo
Kwendraaa wewe π€£π€£ππππππ Loe hulali kabisaa na ndio nia yangu
Ndiyo...Tena nimeipiga jana tu [emoji123][emoji123]Mmh picha ya Shimba?
Saluni ya mama Kimbo naona ilikaa kiswahili mno..sikuipenda.Nzuri sana
Nilipenda ile ya mama Kimbo
Mmmh wewe huyo utume picha?Ndiyo...Tena nimeipiga jana tu [emoji123][emoji123]