Mungu muaminifu, siri kubwa ya maisha marefu na hata kuingia agano la miaka unayotaka kuishi ni utoaji katika ufalme wake Mungu. Kuna reference nyingi za matoleo kumkumbusha Mungu. Swala la kuishi miaka ni swala la agano zaidi kati ya mtu na Mungu na unaweza ku seal hilo agano na sadaka.. Nakumbuka mikaa kadhaa nyuma niliweka agano la miaka 75 na ikaja kuwa confirmed na mzee mmoja nilikutana nae hanijui simjui akaja niambie hiyo hiyo age nikajua passed, mzee wangu ilikuwa 99 passed..