Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,864
Ohooo...unapotea sasaNgoja niwe mario tu
Kaka mm nadili na beki 3 na Mama ntilie tu hao wengine maji marefu hayo
Lenie huyu Rumaiya ni yupi? Sijatokea selfika kitambo sn kiasi kwamba nakuta wengine wamebatizwa na Wana majina mapya
Sawa taratibu utanizoea na utan'gamua rumaiya ni Nani..![]()


Unajua kwenye hili jukwaa la selfika ukishinda humu ni rahisi kumjua mtu anapobadili user name maana muda wote mna interact.Nje ya hapo tukikutana huko kwningne inakuwa ngumu sn.Pili ukizoea mwandiko wa mtu ni rahisi kumtambua hata akibadili jina
Mfano huyu jamaangu _King mwandiko wake unafahamika sn ingawa anaongoza kubadili majina km mwizi![]()





Brooo..acha uogaKaka mm nadili na beki 3 na Mama ntilie tu hao wengine maji marefu hayo
Arusha hii?Kutembea time Lenie View attachment 2271834
Nimeanza kuitwa broooo tena unataka uninyime nn malkia wangu mremboBrooo..acha uoga
Asichojua watoto wakali Kama wewe ndy laini sn kuwapata,maana wengi wanawaogopa Kwa kudhani mko ktk mahusiano kumbe wengi wenu mnakuwa wapweke maana mnaumizwa sn na wanaumeBrooo..acha uoga
😂😂😂😂Nimeanza kuitwa broooo tena unataka uninyime nn malkia wangu mrembo
Sisi watoto wa maskini ukituita Kaka ushaharibu kila kitu
Hivi Broo ni ishara ya kunyimwa kitu eeh..!!??
Kaka unanipa moyoAsichojua watoto wakali Kama wewe ndy laini sn kuwapata,maana wengi wanawaogopa Kwa kudhani mko ktk mahusiano kumbe wengi wenu mnakuwa wapweke maana mnaumizwa sn na wanaume
genetic Acha woga



😂😂😂😂Sisi watoto wa maskini ukituita Kaka ushaharibu kila kitu
Pick n pay daah kitamboKutembea time Lenie View attachment 2271834
Sawa.Ngoja nikuletee katuni ya Peter the RabbitWeee me mtoto, muulize _King atakwambia

Eeeh...Kaka unanipa moyo![]()
Nguvu ulizopungukiwa 😂Kuongeza nini? Mbona hapo unakuwa mzito kutype![]()