Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Broo ya nn tena [emoji856]Jiamini bro
Broo ya nn tena [emoji856]Jiamini bro
Kumbe nawe unaangalia katuni? HahahahaHuwa sichoki kuirudia
Nzuri sana
Acha roho mbaya[emoji41]..anakuja hata km hutakiHuku kumejaa,, hatutaki wageni!
Ya upendo hiyoBroo ya nn tena [emoji856]
Mimi nipo nitakupa jotoNasikia Kuna baridi kinoma..hapana kwakweli
Naishi kwa mtogole mie, ukifika mitaa hiyo nichekiHahahahh..wapi nikufanyie delivery
Napenda sanaKumbe nawe unaangalia katuni? Hahahaha
Mmeru kasimama getini..Acha roho mbaya[emoji41]..anakuja hata km hutaki
😂😂Mimi nipo nitakupa joto
Sawa upendo wa kweli lknYa upendo hiyo
Huu msosi usiku haupaswi kujifunika shuka maana lazima utoe ushuzi wa kunuka sn..mayai ni kiboko[emoji28][emoji28]
Hata karibu
Rumaiya nenda mwanza ukale samakiMmeru kasimama getini..
Ndiyo bro GSawa upendo wa kweli lkn
Mwezi ujao inabid nikutafuteNdiyo bro G
Sawasawa Broo.. karibuMwezi ujao inabid nikutafute