Selfika na JF: Snap it. Show it


Kinakuwaje?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kinakuwa km njugu, ndo unatwangaa, kinashikamana kinakua km ngano iliyokandwa, hapo sasa unakiloweka kidg kwa maji ya chumvi na magadi ndani yake, kilowane Pa1, km dkk 30 had 40 hivi, ndo unaanza kukata ili kipimo unachotaka, ndo unakiweka jikoni kinatokota karibu hata masaa 4 au 5. Na moto uwe mkali vinginevyo kinauva hakiivi.

Kikikolea magadi kikiva ndo kinakua rangi hiyo ya kahawia, magadi yasipokolea kinakua cheupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…