Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,575
- 235,416
Huwa hamuweki karanga?cocastic Cha kuonja kipo[emoji2957]View attachment 2271533
Karanga unaweka
Huku kwetu umezidi bana unaharibu ngozi hadi nguo wallah,Aisee [emoji119]
Huu udongo mwekundu jamani chaa[emoji23][emoji119].
Hata sisi kule kuna wilaya na wilaya., sehemu zingine ni mwekundu ila siyo kama huo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Chinesespidernyoka njoo uoshe/ukateView attachment 2271578
Huyo wa katikati
Coca njoo kule Dakika moja
Mbona sioni karanga kwenye hicho?Karanga unaweka
Kwann unahisi huyo? Toa reasons dea.Huyo wa katikati
Kweli uko umezidi [emoji119]Huku kwetu umezidi bana unaharibu ngozi hadi nguo wallah,
Si hadi aunge nawee ndo ataweka, au wee unajuaje?
Mimi najua zinawekwa pamoja wakati wa kupika[emoji848]Si hadi aunge nawee ndo ataweka, au wee unajuaje?
Mmmh hapana, wakati wa, kukitengeneza kikande unaweka chumvi tyuuh., hadi kiive ndo hapo sasa unaunga.Mimi najua zinawekwa pamoja wakati wa kupika[emoji848]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
πππ uwii mbona kama changu, em nijikagueπ€£π€£π€£
πππππππππππ afu kweli