Duh hio ni Hatari kwa afya ujue😉!!Raha ya urungu ikizama kunako hadi kizazi kunasogea nyuma.
![]()
We dada samahani huwa nakufananisha sana
😂😂😂 unanifananisha na nani?We dada samahani huwa nakufananisha sana
Huwa nakufananisha sana na Frida Aman yule presenter wa Clouds, halafu wote mna mwanyaa😂😂😂 unanifananisha na nani?
Aahaha wee hapana, mie sina mwanya kwanza..Huwa nakufananisha sana na Frida Aman yule presenter wa Clouds, halafu wote mna mwanyaa




kuna nn jaman hapa, haya nyakanga nimefika.Hebu tuone, nishakuona una mwanyaAahaha wee hapana, mie sina mwanya kwanza..
Tuone jirani...Aahaha wee hapana, mie sina mwanya kwanza..
Watu hajui kutumia tango kwenye kachumbari, wengine hawajui kutumia bamia kwenye dagaa 😂😂😂😂kuna nn jaman hapa, haya nyakanga nimefika.
Tuone niniTuone jirani...
Mh.....nitege sikioWatu hajui kutumia tango kwenye kachumbari, wengine hawajui kutumia bamia kwenye dagaa 😂😂😂😂
Wape somooo
Kama kuna mwanya au hakuna 😁😁Tuone nini
Anao mwanya mkuu, we muambie achekeKama kuna mwanya au hakuna 😁😁
DepalAnao mwanya mkuu, we muambie acheke