Wameweka kwenye seting opt ya ky change tone. ila sijaona sehemu ya ku mute, vinazingua kweli kweli hata simu ukiwa umeweka kwenye mod ya no disturb message zikiingia unasikia
😄😄 kwenye maboresho yao, wameacha kitu muhimu. Editing, mtu aki ku quote imetoka hiyo, hata ufute au ubadirishe haibadiriki. Hii kitu huwa inazingua sijui kwanini wameamua hivi