Ni OG? Maana kuna fake dada angu,
Yaan hapa cna amani kabisaa, naitafuta dawa ambayo ni nzuri na inafaa, huku nikiwa nasubir hii ya kutoka SA. nimemuambia abebe nyingi mnoo.
Ni OG? Maana kuna fake dada angu,
Yaan hapa cna amani kabisaa, naitafuta dawa ambayo ni nzuri na inafaa, huku nikiwa nasubir hii ya kutoka SA. nimemuambia abebe nyingi mnoo.
Wameweka kwenye seting opt ya ku change tone. ila sijaona sehemu ya ku mute, vinazingua kweli kweli hata simu ukiwa umeweka kwenye mod ya no disturb message zikiingia unasikia