Ntiluseswa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 673
- 2,292
kumbe we mzuri hivo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cuzooooh eti nn?
kumbe we mzuri hivo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cuzooooh eti nn?
AliogopaNakumbuka ulikataa offer yangu ya mapindi ya CPA bure kabisaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sito sahau mwanfunzi mtukutu kweli kweli
[emoji1787]Hata na mie Nuzulati hawezi kulala hata paka alfajiri niingie ndani.. acha nianze sogea mdogo mdogo
Tumeagizwa kuujaza ulimwengu mapacha mmoja angeitwa Public Finance and Taxation na mwingine angeitwa Business and Corporate Finance 🤣🤣🤣🤣Niliogopa mapindi ya ghetto mkuu, ntarudi na watoto mapacha bure😀😀🙌
aliogopa mapacha tuu 🤣Aliogopa
Hata sijui aliogopa nini
Tafuta waombaji,wahudumu Wa mana mahali ulipo,utajua kila kituWizooo
🤔🤔njoo ujionee km Niko mwenyewe kweli au ....?Ngoja nikampe company mrembo maana kwa baridi hili hapaswi kulala bila kukumbatiwa
[emoji3526]Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
😂😂Mkuu afu hayo masomo ndiyo nayasoma ujue.Tumeagizwa kuujaza ulimwengu mapacha mmoja angeitwa Public Finance and Taxation na mwingine angeitwa Business and Corporate Finance 🤣🤣🤣🤣
Wee pambana na cpa haya ya mume niachie mie nakuleta mwananume tall dark and handsomeNagraduate na vyote, safii😂😂
Oohooo[emoji2297]Kelsea
Now I'm all alone and my joys turned to moping
Tell me here, where are you now that I need ya?
Couldn't find you anywhere
When you broke down I didn't leave ya
I was by your side
So where are you now that I need ya?
Aya njoo pm unipe namba. Dakika kumi tuu nipo hapo morena🤔🤔njoo ujionee km Niko mwenyewe kweli au ....?
You're very handsome mkuu[emoji91]Grandpa [emoji69]View attachment 2269999
Oh akhsante.Tafuta waombaji,wahudumu Wa mana mahali ulipo,utajua kila kitu
Hapo kwenye "tall" koleza wino mshenga😂Wee pambana na cpa haya ya mume niachie mie nakuleta mwananume tall dark and handsome
Aya njoo pm unipe namba. Dakika kumi tuu nipo hapo morena
Kwendaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nione kwa herufi kubwa
Unapata
Hata sasa hivi