Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,865
Achana nayo 😁😁Nikiweka picha inagoma
Achana nayo 😁😁Nikiweka picha inagoma
NaamYeah, ni kweli. Kila mtu anatumika kwa nafasi yake, sio lazima kuwa Mchungaji.
Assssaaaaaaanteeeehhhh!!! Mtoto Rangi rangiii lipss sasa[emoji8][emoji8]Imekubali [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2269801
Aiseee watu walipewa lips buana[emoji91]Imekubali [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2269801
Wewe unatamanije lips za mrembo? Au wewe dume nini?🤣Assssaaaaaaanteeeehhhh!!! Rangi rangiii lipss sasa[emoji8][emoji8]
Hata mimi huwa natamani shepu yake😋Wewe unatamanije lips za mrembo? Au wewe dume nini?🤣
Khaaah!! Sijatamani hata nimeappreciate bana!Wewe unatamanije lips za mrembo? Au wewe dume nini?🤣
Hebu nione ya kwako NuzuHata mimi huwa natamani shepu yake😋
Mungu akupi vyote ndio mimi yaani shepu ni ulimi 😁Hebu nione ya kwako Nuzu
Hizo nazo zina mvuto wake hofu yako tu.Mungu akupi vyote ndio mimi yaani shepu ni ulimi 😁
Weee Nuzu mshepu unao bana acha kufuru ujue!Mungu akupi vyote ndio mimi yaani shepu ni ulimi 😁
Mmh nikiwa gizani sijulikani mbele wapi wala......wapi🤨Hixo nazo zina mvuto wake hofu yako tu.
Unamkosoa Muumba wetu sio poaMmh nikiwa gizani sijulikani mbele wapi wala......wapi🤨
Mwe niliwahi kutupia picha ya kugeuka nyuma zisikuchanganye tule tuwipsiii 😁😁Weee Nuzu mshepu unao bana acha kufuru ujue!
Dah kweli aisee Asante kwa kunikumbusha🙏🏽Unamkosoa Muumba wetu sio poa
Uko vizure mamaaa!!Mwe niliwahi kutupia picha ya kugeuka nyuma zisikuchanganye tule tuwipsiii 😁😁
Mama Mchungaji...Daah I'm short of words mpendwa....It means a lot to me.... Glory be to God. A big Amen
Tuombe uzima mkuu, naamini ipo siku tutaonana. You are blessed 🙏🙏🙏
Nafikiri humu hatushindani kwa uzuri na mwonekano.Dah kweli aisee Asante kwa kunikumbusha🙏🏽