B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
mamaaaaaah
QueenDeby zamani nilikua hivo kipenzi!! Saivi naendelea na mazoezi na diet
QueenDeby zamani nilikua hivo kipenzi!! Saivi naendelea na mazoezi na diet
Utamwambia QueenDeby nilimuwekea😉
Hivi jumla huwa ni dose ngapi na zinachukua muda gani mpaka unamaliza?Hepatitis b vaccine last doseView attachment 2268662
Au basi!!😉😉Sawa lakini aunty daaah au basi 😅
Umepona?Au basi!!![]()
Ndio nashukuru Mungu nimepona lect sasa niko gado!!Umepona?
Great!Ndio nashukuru Mungu nimepona lect sasa niko gado!!
Jipo..hujamboHahahah upo?
let we make it any time
Ni dose tatu unachoma ya kwanza unasubiri mwezi mmoja unachoma ya pili then unasubiri miez sita unapiga ya mwisho ukimaliza sahau kuhusu kupata ugonjwa wa homa ya ini unaosababishwa hasa na kunyaduanaHivi jumla huwa ni dose ngapi na zinachukua muda gani mpaka unamaliza?
Nisamehe tu jirani kwa leo....nilikuwa njiani ndio nimeingia kijijini muda huu. Kesho ntapata..Jirani myoyambendi bado hujafanikiwa kupata simu jirani??
Basi sauwaa jirani kesho usiache kunitag jirani etu siee!!Nisamehe tu jirani kwa leo....nilikuwa njiani ndio nimeingia kijijini muda huu. Kesho ntapata..
Nashukuru sana mkuu. Na je gharama ikoje?Ni dose tatu unachoma ya kwanza unasubiri mwezi mmoja unachoma ya pili then unasubiri miez sita unapiga ya mwisho ukimaliza sahau kuhusu kupata ugonjwa wa homa ya ini unaosababishwa hasa na kunyaduana
Gharama yake Ni tsh 15000 kwa kila dozi kwa hospital za rufaa Ila hosp za wilaya Ni elfu 10..kinga Ni bora kuliko tibaNashukuru sana mkuu. Na je gharama ikoje?