Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,235
Tunakupa nafasi kanisani j2 utuhubirie wanawake.Haina(ga)maelezo
Ni vitendo
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tunakupa nafasi kanisani j2 utuhubirie wanawake.Haina(ga)maelezo
Ni vitendo
NimeonywaNimempa mbinu rahisi [emoji23]
Atupie Chache hapa,nyingine aseme wazifuate PM..
Za elfu 10 ,10.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
AsantiPole mkuu.
Wana chura[emoji848]Tunakupa nafasi kanisani j2 utuhubirie wanawake.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hongera sana na ubaki ivoivo mamy hizo ni mambo za kiwaki!!! [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji1][emoji1][emoji1] mummy, Mimi siwezi Kwa kweli. Na haitakuja tokea kugombania mwanaume.. Mungu nisaidie [emoji120]
Kuona hizoHuo utakuwa upendo kweli? Wige
Pillow 10
[emoji2][emoji2] huwa nakubali kuachika eti. Sijui ni uzembeeeHongera sana na ubaki ivoivo mamy hizo ni mambo za kiwaki!!! [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
NdiyoooooKuona hizo
Pakeji
Ama unaongelea nini
Rafiki
Uzembe wapi sweetheart huko ndiko kujisimamia sasa!!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji2][emoji2] huwa nakubali kuachika eti. Sijui ni uzembeee
Kipenzi hio nguo ya foto ya chini nimeielewa kinoma noma nakuja kukuibiaa asee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hahaha ya kawaida Sana kipenzi. Sema Nini, acha tu nikusababishie View attachment 2269070View attachment 2269072
Wana ng'ombe tu na njiwa.Wana chura[emoji848]
Aaah nakuona wa bus la njano...Life is
Two ways
Trafic
Tukikwambia tuone
Maeneo pendwa
Unazingua
Ebu anza leo
Utashangaa wanavyomwagika
Hongera sana
Hahaha najiona mzembe Mpk bs..Uzembe wapi sweetheart huko ndiko kujisimamia sasa!!! [emoji8][emoji8][emoji8]