Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😁😁😁 uzinifu kuisha means wote tuolewe/ men waoe/ uchepukaji usiwepo, hapo ndio tunaweza kumaliza uzinzi/ uzinifu… kitu ambacho sio rahisi kw dunia hii ya sasa…

Ila suala la kugombania bwana Ke kwa ke ni ujinga wa kiwango aisee, ilo linazuilika na kuisha watu tukiamua.

Ukipendwa, pendeka
Ukiachwa, achika
Ukishindwa piga u turn mrudie muumba wako.
Mbona easy tu 😁😁
Naunga mkono hoja ndugu Mjumbe.
 
uzinifu kuisha means wote tuolewe/ men waoe/ uchepukaji usiwepo, hapo ndio tunaweza kumaliza uzinzi/ uzinifu… kitu ambacho sio rahisi kw dunia hii ya sasa…

Ila suala la kugombania bwana Ke kwa ke ni ujinga wa kiwango aisee, ilo linazuilika na kuisha watu tukiamua.

Ukipendwa, pendeka
Ukiachwa, achika
Ukishindwa piga u turn mrudie muumba wako.
Mbona easy tu
Haipingwi hiyooo.
 
Attachments

  • IMG_20220622_125531_471.jpg
    IMG_20220622_125531_471.jpg
    673.3 KB · Views: 6
Back
Top Bottom