Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Hongera za baridi? AkuuuHongereni jirani. kwetu mawingu tu.
Jua likitoka tu naenda njs kuliota…
Hongera za baridi? AkuuuHongereni jirani. kwetu mawingu tu.
Tunaolala kama gogo la mbuyu tuna kikao jioni yaleo😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh, Wasomi wanachambana kisa bwana, nipo hoi hapa kwa kucheka, .
Unaambiwa kuna mtu analala km gogo la mti wa mbuyu, nyie watu wana dhambi woiiiiii
😂 😂Hongera za baridi? Akuuu
Jua likitoka tu naenda njs kuliota…
Na huu ndo ukubwa. Hongera my jiraniHaha
Yan unataka kusema ‘nakukuta na bwana angu wakati bado sijaachika? Ndio nipanick tuchambane??
If so, that’s too low shost, I’ll deal with my man and not you… wewe ulitongozwa ukakubali, na hata kma ulim seduce bado makosa yanalala kwake why akubali??
Then kama vichambo atapata yeye aisee
[emoji16][emoji16][emoji134] khaaaaSi bwana naee, labda huyo bwana urungu wake uwe huja umanya frengaaa, mbna had kudundana tyuuh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji8] safi Sana [emoji122]... Waanzaje gombania m2?Haha
Yan unataka kusema ‘nakukuta na bwana angu wakati bado sijaachika? Ndio nipanick tuchambane??
If so, that’s too low shost, I’ll deal with my man and not you… wewe ulitongozwa ukakubali, na hata kma ulim seduce bado makosa yanalala kwake why akubali??
Then kama vichambo atapata yeye aisee
Watu wote wangekua km wee, uzinzi na umalaya ungekoma km sio kuisha. Hii ndo inatakiwa sasa.Haha
Yan unataka kusema ‘nakukuta na bwana angu wakati bado sijaachika? Ndio nipanick tuchambane??
If so, that’s too low shost, I’ll deal with my man and not you… wewe ulitongozwa ukakubali, na hata kma ulim seduce bado makosa yanalala kwake why akubali??
Then kama vichambo atapata yeye aisee
Dea upooo, urungu mtamuu wee usipime.[emoji16][emoji16][emoji134] khaaaa
Mapema hii
Acha dhambiTunaolala kama gogo la mbuyu tuna kikao jioni yaleo[emoji23]
Weeee siningeringa sanaAcha dhambi
Niliambiwa kwako
Feni inasubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka leo, wazazi wanajua watoto wako shule, kumbe watoto wenyewe ndo kwanza wako bizze kugombania mikunyenge.Tunaolala kama gogo la mbuyu tuna kikao jioni yaleo[emoji23]
Duh!! hatarii..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka leo, wazazi wanajua watoto wako shule, kumbe watoto wenyewe ndo kwanza wako bizze kugombania mikunyenge.
Woiiiiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23] kazi na dawa.Duh!! hatarii..
Wajinga hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka leo, wazazi wanajua watoto wako shule, kumbe watoto wenyewe ndo kwanza wako bizze kugombania mikunyenge.
Woiiiiiiiiiiiih
😁😁😁 uzinifu kuisha means wote tuolewe/ men waoe/ uchepukaji usiwepo, hapo ndio tunaweza kumaliza uzinzi/ uzinifu… kitu ambacho sio rahisi kw dunia hii ya sasa…Watu wote wangekua km wee, uzinzi na umalaya ungekoma km sio kuisha. Hii ndo inatakiwa sasa.
Aisee......😁😁😁 uzinifu kuisha means wote tuolewe/ men waoe/ uchepukaji usiwepo, hapo ndio tunaweza kumaliza uzinzi/ uzinifu… kitu ambacho sio rahisi kw dunia hii ya sasa…
Ila suala la kugombania bwana Ke kwa ke ni ujinga wa kiwango aisee, ilo linazuilika na kuisha watu tukiamua.
Ukipendwa, pendeka
Ukiachwa, achika
Ukishindwa piga u turn mrudie muumba wako.
Mbona easy tu 😁😁