myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Jirani ametuchangamsha😁😁Vipi tena jirani ake Depal
Jirani ametuchangamsha😁😁Vipi tena jirani ake Depal
😄😄😄😄 vya mchongo au sioAdi mwenyew simuelewagi😂
Ila ni pisi moja imetulia sana iko na tbs zake za kutosha😁
Kuna picha yako moja niliiona umekaa kwenye gari miaka miwili/mitatu iliyo pita ukitumia lile jina lingine,nikajisemea tu moyoni..."hiki kitoto kitakuja kuwa kizuri kisipojiharibu rangi...!!"Kinachoniokoa kingine, macho yangu yana ile sehemu wanayopakiaga ma eye shadow![]()
Tuma vocha.tuma ile namba nifanye manuva
Sijapata mtoko wa ofisi za watu😂😂Ahsanteeee dea, hebu post kiofisa nikuone.
Mweeh anko...Kuna picha yako moja niliiona umekaa kwenye gari miaka miwili/mitatu iliyo pita ukitumia lile jina lingine,nikajisemea tu moyoni..."hiki kitoto kitakuja kuwa kizuri kisipojiharibu rangi...!!"
Ile picha ilikuwa naiangalia mara kwa mara hadi upepo wa ukaguzi ulipo pita bila taarifa...
Asante sana ndoto ya kila mwanaume weweHongera sana
Yaani yanabadilika badilika sijui warapenMweeh kuna watu nawaona na maduara ya kijani (at first nilifikiri kijani ni kwangu peke yangu), wengine mekundu. Inamaanisha nini?
MumeweUyo ndo.....![]()

Dah haya kila la kher kwahio ntakua mjombaHaswaaaaah.
tuma nambaTuma vocha.
Jirani hapoi wala haboi😂😂Jirani ametuchangamsha😁😁
MashikoloYaani yanabadilika badilika sijui warapen
KwendraaaTuishi humo kwanza.
Kuna namna Roho wa Bwana anataka afanye jambo..nasoma hichohivho.
Ukute amekaribia kuniletea mubaby.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tuma Pm weee nametuma namba
Baba wa ubatizoKm sio baba mlezi,![]()
Ebana ndioSitaki ya kituoni, nataka hospital mie, hata ikiwa south Africa ni sawa, ila gharama ni kias gan, nataka kuitwa mama mie.
Wewe ndo umesemaMumewe
Kichwa changu hiki
Sijui nalewa
Rafiki yake kipenzi