Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mnanitesa hamjui tuu.
ngoja nijirembe kwanza nisije nikaibuka huko hivi hivi nikakutisha bure mtoto wa watu




Nitajitolea niwe nakupeleka na kukurudishaKusema kweli kanisani naenda kwa kudonoa sana.
Uchawi wa mshana ni mzitoo sanaa
Kauzi bado kanasonga tu kama kameanzishwa jana

NitashukuruNitajitolea niwe nakupeleka na kukurudisha

Tunaanza lini ?Nitashukuru![]()
Tungekuwa Eneo Moja hata kama kuna Bible study tungeanza Leo.Tunaanza lini ?
😂😂😂I hear uThe thing goes skrrrrrrah papapa pa
Siwapendi. Na nikipata ubuyu wangu hamli.
😂😂😂😂pole sanaIla huu uzi unarudisha maendeleo yangu nyuma yaani siku hizi najikuta sisomi tena nyuzi nyingine humu jf nashinda kwenye huu uzi tu,, maana kila nikiingia kwenye notifications nakuta "fulani liked your post in selfika na jf snap it show it" au "fulani quoted your post in selfika na jf snap it show it"..
Hadi nimalize kulike na kuquote comment zao tena tayari siku imeisha na ninakuwa nimeshachoka kiasi cha kushindwa kuendelea kusoma nyuzi nyingine,, daah ninyi wadau mlioweza ku get over this thread naombeni siri ya mafanikio maana mimi sijui nakwama wapi msaada wajameni..
Taratibu taratibu mpka tutaona sura![]()



)Nilikuwa sijawahi kuona huo uzi kabisa![]()
Mshana Jr...without sunglasses
. Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart)
www.jamiiforums.com

Nakusihi sana dada mpendwa siku ukiweka ya uso wako full Kama sipo online naomba niikute hata pm tu kwa kweli
sio lazima tuwe eneo moja mkuu. Hata kwa njia ya mtandao inawezekanaTungekuwa Eneo Moja hata kama kuna Bible study tungeanza Leo.