Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikuhakikishie mchana kweupeee.
Hakuna misheni yangu imewahi feli...sema nimeanza kumrudia Bwana.
Tema mate chini wewe mtoto๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sheeeeendwaaaaaaahh ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ Nakwambia uliza habare za Tonniah utaambiwa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ utabaki unalia na moyo wako hadi mtondogoo ouhooooooooo!! Tonniah ni motro wakuotea mbareeeee!!๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Sheeeeendwaaaaaaahh ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ Nakwambia uliza habare zangu utaambiwa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ utabaki unalia na moyo wako hadi mtondogoo ouhooooooooo!! Tonniah ni motro wakuotea mbareeeee!!๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Acha nikusitiri tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†
Nisijevuruga bure
 
Nimeonaaaa

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ oh gosh!! I really miss my teknoโ€ฆ maana pale ilikuwa ni shwaaapโ€ฆ wauwee ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ

Sahivi ni fyakin uzeles ๐Ÿ™„๐Ÿ™„

Haya.. weโ€™ve to log out hereeee
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna namna zamani ulikua unanipa burudani, saivi umehamia matawini huko mambo yamechange๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Haya me bado nipo nipo huku
 
Weee shos unanipaje tabu kukutafuta walai cuzoo wako anakutafuta sanaa[emoji23][emoji23][emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mniache, leo nna furaha mnooo.

Aririiiiiiii coca mie, huku ni kupendwaaa au nn? Hapa tyuuh maji ya bahari sijawahi gusa, je nikigusa?

Hatareeeeeeh
 
Back
Top Bottom