Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,224
Saivi nikianguka mbona nitaparalaizi walai juzi ni walinitengua hatari 😂😂😂Ngoja uvunjike tena hata sitakuja kukuuguza😂
Saivi nikianguka mbona nitaparalaizi walai juzi ni walinitengua hatari 😂😂😂Ngoja uvunjike tena hata sitakuja kukuuguza😂
NimeonaaaaYaani wewe😂😂😂
Nakusubiri maana nina mengi
👍👍Usijali dadangu, huu unao onekana kama ujinga hapa una maana kubwa sana, tunafuta mafile ya mchana ili kupata nguvu mpya rafiki...usijali
Mzee wa likes habari yako kaka
Weka picha basi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilimsomaa weeh mie nipo zaidi ya makini hunivimbishi kizembe weeeeee👈👈👈👈👈👈👈👈 dont dare kukutwa na Tonniah 😜😉😉😉Hujamsoma mwenzako kutoka Tunduma to Arusha alifuata sijui kiazi sijui muhogo mchungu?😅😅😅
Akarudi kwao na uvimbe wa nyuki badala ya utamu wa asali?😅😅😅😅
![]()
California mnaenda lini cuzoo ake![]()
![]()
California mnaenda lini cuzoo ake??![]()
natafta private choper kwanzaCalifornia mnaenda lini cuzoo ake??
Safii mkuu, kwako je...tunaongeza furaha humu.Mzee wa likes habari yako kaka
Nikuhakikishie mchana kweupeee.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilimsomaa weeh mie nipo zaidi ya makini hunivimbishi kizembe weeeeee👈👈👈👈👈👈👈👈 dont dare kukutwa na Tonniah 😜😉😉😉
Niko poa sana mkuu.Safii mkuu, kwako je...tunaongeza furaha humu.
Jirani....sawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilimsomaa weeh mie nipo zaidi ya makini hunivimbishi kizembe weeeeee👈👈👈👈👈👈👈👈 dont dare kukutwa na Tonniah 😜😉😉😉
kwahiyo vp ule mpango wetucuzooooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂!! Sivimbishwi kizembe jirani 😜😜Jirani....sawa
Huyu jirani yako mbingu ataisoma tuJirani....sawa
Kweli kabisa..furaha ni zaidi ya kila kitu.Niko poa sana mkuu.
Naam hiki kijiwe ukikitumia vyema akili inakuwa mpya mkuu...muhimu kufurahi na raia
SureKweli kabisa..furaha ni zaidi ya kila kitu.
🤣🤣🤣..Huyu jirani yako mbingu ataisoma tu
Ni kweli kabisa, maisha ni haya haya.Usijali dadangu, huu unao onekana kama ujinga hapa una maana kubwa sana, tunafuta mafile ya mchana ili kupata nguvu mpya rafiki...usijali
Picha iliwekwa mchana jiraniWeka picha basi