Hahahaha!! Wewe mshana kumbe ni mwanamke. Nilikuwa sifahamu hadi nilipoona hz picha zako.Kuna wakati tunahitaji ku realise stress... Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya.. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya...
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha... Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia...
Solution hii HAPA sasa.... Utashangazwa na matokeo yake...!!!
.. Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani... [emoji117][emoji117][emoji117]Fanya hivi..! hapo ulipo tupia picha yako.. Ya sehemu yoyote mwilini... Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa... Mimi nitaaza na hizi.. View attachment 1217156View attachment 1217157View attachment 1217158
Sana[emoji8][emoji8].Ni kababy doll hasa
Salama tu. Nimepitwa na nini?
Kusema kweli kanisani naenda kwa kudonoa sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuenda kanisani ni kipengele sio??
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Ni kababy doll hasa
Waow hongera[emoji7][emoji7].
Kweli, baba yangu mzazi ni mwislam ila nilibatizwa mama yangu alikuwa mkristo. tangu nipo na miaka mitatu nimeishi Zanzibar, kwenye familia ya kiislam tena ya kiislam haswa mpaka ukubwa huu.
Nishajizoelea madrasa, msikitini, ushungi kila kitu.
Kwa sasa nipo Dubai na ni uislam tu kwa kwenda mbele. Hawajawahi kujua mimi ni mkristo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Kwani ni wa mzigua🙆🙆🙆Khaaaa kwahiyo mzigua kamuacha tena
Jamani[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]nani huyooSana[emoji8][emoji8].
Kuna rafiki yangu flani anakakubali sana
Sana[emoji8][emoji8].
Kuna rafiki yangu flani anakakubali sana
Kusema kweli kanisani naenda kwa kudonoa sana.
Popote ulipo j ukuje hapa[emoji1][emoji1].Jamani[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]nani huyoo
Hujataka tu mm nimeishi na waislam nikiwa 6 yrs mpka natimiza miaka 16 then nikaenda zenji kwa waislam tena. Nineenda madrasa..nimeenda Msikitini ila ukristo sijawahi kuucha. Ilibidi kwa juhudi zangu niitafute imani yangu kwa uhakika japo kipindi hiko pia nilikua naenda kanisani sunday mpka nikahamia misa za wakubwaHivi unajua mimi nimebatizwa nikiwa mdogo. Sema ni maisha tuu yameniweka mbali na ukristo.
Nimeishi na waislam hadi nimeshazoea. Ila mimi ni mkristo japo kanisani ndio hivo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Yupo.Yumo humu??
Hapana itanitia uzezeta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamna unayafanya vizuri tu ila huku ukijua kwamba "mimi ni mtoto"
Yupo.
Ila siku hizi haonekani
Chuga!Mbali sana. Ndio unaishi huko?
Hapana itanitia uzezeta